Tunaowaza kuacha malengo yetu na kuhamia idara nyingine baada ya kukutana na msuko suko tukutane hapa tupeane mawili ma3

Tunaowaza kuacha malengo yetu na kuhamia idara nyingine baada ya kukutana na msuko suko tukutane hapa tupeane mawili ma3

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Mimi ni m1 wapo kama kichwa cha uzi.. Nina lengo la kua mfugaji wa kuku wa biashara ila wiki hii nimekumbana na hasara ya laki mbili na 10.. Baada ya kuku wangu karibia 10 kuugua na hatimae kufa.. Licha ya kugarimia dawa na chakula chanjo nk Kwa Sasa ninawaza kuachana na ufugaji lakini moyo unasita maana napenda Sana kufuga kuku wa kienyeji Kwa ajili ya project ya biashara. Najua tupo wengi uumu karibu
 
Nakushauri muone Dr WA Mifugo kwa ushauri zaidi pia tafuta mfugaji mzoefu WA kuku akupatie ABC za shughuli hiyo
 
Back
Top Bottom