Mimi ni m1 wapo kama kichwa cha uzi.. Nina lengo la kua mfugaji wa kuku wa biashara ila wiki hii nimekumbana na hasara ya laki mbili na 10.. Baada ya kuku wangu karibia 10 kuugua na hatimae kufa.. Licha ya kugarimia dawa na chakula chanjo nk Kwa Sasa ninawaza kuachana na ufugaji lakini moyo unasita maana napenda Sana kufuga kuku wa kienyeji Kwa ajili ya project ya biashara. Najua tupo wengi uumu karibu