Tunapamba harusi, sendoff, birthday party, graduation na pia tunakodisha ukumbi wa kwa bei nafuu. Tunapatikana Mwanza Capripoint Kwa mawasiliano zaidi 0694089649.
Karibuni sana.
Kijana nenda serengeti na watu wako wa karibu 18 fungeni ndoa huko bajeti haitazidi m5. Hela ya mapambo fanyieni mambo ya muhimu. Hayo mambambo waachieni wasanii hakuna faida na maana