House4Rent Tunapangisha jengo kwa wanaotaka kuweka ofisi na apartments, pia hostel nafasi zipo

House4Rent Tunapangisha jengo kwa wanaotaka kuweka ofisi na apartments, pia hostel nafasi zipo

BATULUNGE

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Posts
391
Reaction score
633
Jengo lipo Makongo juu ccm, takriban 3 kutokea Mlimani city
Jengo ni mpya na nzuri Sana na kuna maji ya kutosha masaa 24, umeme ni wa uhakika hata ikitokea umekatika lipo jenereta kubwa la kuweza kukidhi matumizi ya umeme kwa jengo nzima,

Kwa wale wanaotaka kuweka office nafasi zipo za kutosha,

Wanaotaka vyumba au apartments zipo za kutosha

Kwa wanaotaka hostel hasa wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ardhi na UDSM nafasi zipo za kutosha

Jengo lina miundombinu bora na imara kwaajili ya kukidhi mahitaji ya wapangaji wote

Kwa mawasiliano zaidi piga namba #0656077998, 0763630072
 
Back
Top Bottom