Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nakumbuka mwaka jana au juzi Star link walitaka kuja kuwekeza Tanzania. Nape na watendaji wake wa TCRA, Star link walipigwa danadana hadi hawajawekeza bongo.
Sababu zilizotolewa na Nape na wataalam wake uchwara na za hovyo eti za kutaka data center yao kuwepo nchini.
Ukiwasikiliza Nape na Wataalaam wa Tanzania utagundua bongo tuna viongozi na watendaji wasio na uwajibikaji mzuri sana kwa sababu hao Star link kuwa na kutokuwa na data centre yao hapa nchini haizuii vitu unavyofanya kupitia computer yako au kifaa chochote nchini kutoweza kuingiliwa na kuibwa kitaalam na mtu yeyote mwenye teknolojia ya juu zaidi.
Tuliona siku si nyingi Nchi yetu ikapata tatizo la kimtandao ambalo kwa mujibu wa wataalam endapo Star link wangekuweko tusingepata ule mkwamo maana tungekuwa na alternative means ya kuendelea kuwasiliana tena kwa bei rahisi sana.
Leo tena kimeumana. Vodacom mtandao umeanza kusumbua jioni hii. Hatujui muda si mrefu itakuwa kwa mitandao gani.
Hali hii inanifanya ni conclude kuwa endapo Tanzania tutaendelea kuongozwa na viongozi wasitambua inawezekana hadi mwisho wa dunia unafika tukawa hatujapata maendeleo ya kweli!
.