Na kama wameokoa gharama za kulipa pango kwann wanauza ghali?Mm binafsi si nunui nguo mtandaoni na sababu zangu mbili:
1. Kwenye picha unaona ni material mazuri, mweeeeee! Ukija kuiona kwa macho unaweza ukalia na pesa nshakwenda.
2. Ni gharama sana
OkeGharama ya kulipa mafundi na ma designer
Ohh ya mimi nimeona e bay mara nyingi 2 hand vinakua original lakini official website hasa wakiwa na sales bargain yao ni nzuri.Mitandaoni kumejaa fake designer brands labda ununue kwenye official website. Wengi wananunua eBay ambako hata mimi naweza kununua fake product from China nikaiweka eBay au Amazon nikaiuza.