miamiatz
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 505
- 941
Habari wanajamvi,
Kuna baadhi ya taasisi kubwa ambazo zinatumia vibaya neno tunapenda.
Zinatumia neno hilo kutoa taarifa njema na mbaya bila kujali muktadha.
Kuna siku niliona taarifa kwa uma iliyotolewa na Azam Sealink iliyosomeka:
"UONGOZI WA AZAM SEALINK UNAPENDA KUWAJULISHA WATEJA WAKE YA KWAMBA :
KUANZIA TAREHE 23/11/2018 USAFIRI WA AZAM SEALINK KWENDA UNGUJA NA PEMBA UTAPATIKANA SIKU ZA IJUMAA TU. HAPATAKUWA NA USAFIRI SIKU YA JUMATATU KUAMKIA JUMANNE.
UONGOZO UNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA."
Taarifa za mtindo huu hutolewa pia na mabenki kadhaa wanapolazimika kusitisha huduma flani.
Kwa mtazamo wangu neno sahihi ni:
"UONGOZI WA .... UNASIKITIKA" kwa taarifa isiyopendeza kwa wateja na
"UONGOZI WA .... UNAPENDA" kwa taarifa inayopendeza kwa wateja.
Wataalamu wa lugha mnasemaje hapa?