Kijani vs Chadomo.
Kijani kakimbilia kukaba shingo ya Chadomo. Chadomo kaishiwa pumzi but kwa kudra ya M/Mungu kachomoka nduki kukwepa kipigo. Kijani akamtangazia Chadomo eti yameisha asikimbie but Chadomo haamini mpaka apatikane mlinzi au mwamuzi asiye na upendeleo.