Tunapika chakula kwa oda, tunapatikana Kigamboni

Tunapika chakula kwa oda, tunapatikana Kigamboni

Pre form one

Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
28
Reaction score
46
Habari za leo ndugu zangu, kwa yeyote ambaye atahitaji chai au chakula kwa ajili ya staff, saiti members, sherehe ndogo, mtu binafsi, kampuni, asisite kuwasiliana na sisi +255758131425.

Tunapika chakula unachokihitaji, tunapack vizuri tunakuletea mpaka mlangoni, kama ni kampuni unaletewa kulingana na mda uliotupangia na malipo yanakua ni maelewano.

Ahsante na karibu sana.
 
Biriani la nyama ya kuku
Kwa watu 10 utatufanyia bei gan plus delivery?
 
Safi sana jitahidini maana biashara ya chakula imekua na ushindani sana kwasasa
 
Mi nipo Katavi, naomba mnipikie madimu na ugali kisha mniagizie.
 
Back
Top Bottom