Habari za leo ndugu zangu, kwa yeyote ambaye atahitaji chai au chakula kwa ajili ya staff, saiti members, sherehe ndogo, mtu binafsi, kampuni, asisite kuwasiliana na sisi +255758131425.
Tunapika chakula unachokihitaji, tunapack vizuri tunakuletea mpaka mlangoni, kama ni kampuni unaletewa kulingana na mda uliotupangia na malipo yanakua ni maelewano.
Ahsante na karibu sana.