tunapika na kudeliver vyakula vya diet

glamour

Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
13
Reaction score
8
Edgepont Dieter's ni club ya kupungua mwili ambayo hupika vyakula vya diet na kukuletea nyumbani au kazini. Breakfast, lunch na dinner ni kwa shilingi 8,500/= tu.
Tuna 'Edgepoint 14 day diet' ambayo utapunguza kilo zaidi ya 9 ndani ya wiki mbili. Diet yetu ni rahisi na sio ya kukutesa. vinginevyo unaweza kututumia diet plan yako na tutakupikia na kukuletea chakula chako cha siku nzima kwa 8,500/-.

Pack ya chakula inakua na breakfast, lunch, dinner na maji lita 2 ya Kilimanjaro.
tupigie; 0715808038 au tuma barua pepe; lcmakoi@gmail.com
 

Attachments

  • images.jpg
    7.8 KB · Views: 292
Reactions: 3D.
Hiyo itakuwa ni nzuri kama ni kweli . Inapatikana dar peke yake ama ? Lakini hiyo kupunguza kilo 9 ndani ya wiki mbili itakuwa ni fiksi .
 
kama nakaa gongolamboto ninaweza kupata hiyo huduma na je nitahakikisha vipi hiyo diet iko salama ila hiyo kupungua kilo 9 kwa week 2 ???
 
sio fiksi mwana, tunakupa diet na usipo cheat hiyo diet na ukafanya mazoezi walau kutembea dk 30 kwa siku, tunakuahidi, in 2 weeks utapunguza kilo 9. ipo Dar pekee.
 
ooooohhhh guys nimewakubali kwa kuwa wabunifu ....nawatakia biasharan njema ...mkianza kuuza hisa zenu kitakapochanganya nijulisheni ....... nimewafurahia sana ...mungu awabariki
 
yaani hiyo diet yenu nitaongezapo na tu-bia tu-iwili daily, je bado nitapungua 9kg/week? Else, hiyo hianifai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…