Tunapitia nyakati Ngumu RC kutuhumiwa kubaka, Paroko kutuhumiwa kuuwa albino, Mbunge kumtuhumu Waziri kuhujumu uchumi!

Tunapitia nyakati Ngumu RC kutuhumiwa kubaka, Paroko kutuhumiwa kuuwa albino, Mbunge kumtuhumu Waziri kuhujumu uchumi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sio ishara nzuri upande upi?

Kama ni upande wa CCM na "siri kali", basi hii ni habari njema kwa Watanzania.

Kama ni kwa upande wa nchi,basi hii ni habari mbaya.

Tazama itakuwa ni uponyaji mkubwa wa Tanzania kwa CCM kuondoshwa katika ulimwengu wa uongozi.
 
Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri

Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni

Ahsanteni Sana 🐼

IMG-20240621-WA0009.jpg
 
Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri

Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni

Ahsanteni Sana 🐼
Sisi bado tuko kwenye tuhuma, wewe umeshafika kwenye hukumu?
 
Na bado mpaka watamjua Mungu kuwa yupo 🙄👍
 
Back
Top Bottom