johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanyongwe hadharani ikibainika wamehusika.Wakatwe vichwa waliohusika, waanze na paroko
Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri
Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni
Ahsanteni Sana ๐ผ
Sisi bado tuko kwenye tuhuma, wewe umeshafika kwenye hukumu?Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri
Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni
Ahsanteni Sana ๐ผ
Yale maombi ya pamoja viwanja vya jangwani siku hizi hakuna!Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri
Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni
Ahsanteni Sana ๐ผ
Nchi kama imebaki yatima mzeeHaya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri
Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni
Ahsanteni Sana ๐ผ
Mambo ni hovyo hovyo tuUmesahau DC kutuhumu wanawake kuwa ni madada poa
Na bado mpaka watamjua Mungu kuwa yupo ๐๐Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri
Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni
Ahsanteni Sana ๐ผ
SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji