B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
wakuu hii kitu inakuwa ina nikeraa kidogo,wasanii wengi sana wa kizazii kipya,na wapongeza na inaonyesha ni kiasi gani game imekuwaa na challange.ilaa tunapotaka kuongelaa ma legand wa bongo flevaa,tunaa msahau muasisi wa hii game nae ni SELE JABIR,huyu ndo msanii wa kwanzaa kuanza kufanya bongo fleva ki mahazi ya hip hop,akitumia beat za mbele kama za kina mc hammer,not by nature kama jamboriiiiiii.huu jamaa watu wanamsahau mchango wake katikaa hili game,wanaibukaa wakuda na kujifanya wao ndo waasisi wa hili game.