GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtateseka sana nyie burundi na Rwanda gang. Tumejifunza mapandikizi yote ya nchi zingine msahau tena kukamata uongozi wa nchi hiiMessage sent kaka Mkubwa, lakini kwa nini unawarushia mawe nyuki mchana kweupe wakati malkia wao bado yumo mzingani? Huoni kwamba nyuki na hata viwavi vyao watakutafuta na wakumulike hata na vitoshi?
Habari za Bunjumbura au Kigali?Kwamba tangu uhuru Tanzania haijulikani duniani leo tu ndo inaenda kujulikana chini ya Mama. Kazi ipo safari zote za Nyerere, Mwinyi, JK, Mkapa na hatimae Samia alikuwa Makamu wa Rais na yeye ndo alikuwa anasafiri badala ya JPM. Hii nchi haijulikani eti nyiee.
Kazi ipo go. Kuna uwezekano wenzetu huko ng'ambo wakienda hawaongei. Wana kula bata tu.
Kwani kwa akili yako rebranding ni mpaka mbo yaharibiwe ndio ifanyike?acha ulipyotoLeo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji.
Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa ndiyo mnakuja kutuonyesha 'kimafumbo' kuwa mlikuwa hamkubaliani 'kimaamuzi' kwani wenye akili kubwa tutawatafsiri nyie si tu ni wanafiki bali pia mna 'vielementi' vya uchawi pamoja na vya ufitini pia.
Ninaamini message sent and delivered.
We taga utakufa tu kwa presha mwaka huu.Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji.
Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa ndiyo mnakuja kutuonyesha 'kimafumbo' kuwa mlikuwa hamkubaliani 'kimaamuzi' kwani wenye akili kubwa tutawatafsiri nyie si tu ni wanafiki bali pia mna 'vielementi' vya uchawi pamoja na vya ufitini pia.
Ninaamini message sent and delivered.
Maza na Mwendazake?Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji.
Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa ndiyo mnakuja kutuonyesha 'kimafumbo' kuwa mlikuwa hamkubaliani 'kimaamuzi' kwani wenye akili kubwa tutawatafsiri nyie si tu ni wanafiki bali pia mna 'vielementi' vya uchawi pamoja na vya ufitini pia.
Ninaamini message sent and delivered.
Mkuu GENTAMYCINE ni nani huyo angethubutu yaani narudia angethubutu ku challenge yule Mungu? Badala yake Mimi msaidizi nilifanya several attempts za kuondoka mkanikalisha Chini🤣🤣🤣. Baadaye kilichotaka kunitokea ni Siri yangu moyoni. Ila Mungu ni Fundi. Niishie hapo. By the way Mdude Yuko huru hiyo ndiyo habari kuu Leo 😃😃😃. Hata Sisi CCM damudamu hatukufurahia waliyokuwa wanatendewa marafiki na ndugu zetu. Mwisho wa siku uvyama unakufa Ila undugu na uswahiba wa kushibana haufi kirahisi. Hivyo ukimjeruhi mmojawapo ni lazima niuumie. Uvyama tunaweka Kando. Marafiki zangu wako wa itikadi ya vyama na dini tofauti hivyo nafikiri unanielewa. Adumu Rais wa Watanzania wote aliyerejesha nchi kutoka jehanamu. Mungu amlinde.Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji.
Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa ndiyo mnakuja kutuonyesha 'kimafumbo' kuwa mlikuwa hamkubaliani 'kimaamuzi' kwani wenye akili kubwa tutawatafsiri nyie si tu ni wanafiki bali pia mna 'vielementi' vya uchawi pamoja na vya ufitini pia.
Ninaamini message sent and delivered.
Amekuwa bidhaa?Kwamba tangu uhuru Tanzania haijulikani duniani leo tu ndo inaenda kujulikana chini ya Mama. Kazi ipo safari zote za Nyerere, Mwinyi, JK, Mkapa na hatimae Samia alikuwa Makamu wa Rais na yeye ndo alikuwa anasafiri badala ya JPM. Hii nchi haijulikani eti nyiee.
Kazi ipo go. Kuna uwezekano wenzetu huko ng'ambo wakienda hawaongei. Wana kula bata tu.
Hapo mkuu umenena kiungwana na kiweledi zaidi tatizo ni wale waliotoa kauli hiyo ni uthibitisho kwamba wanaoona mapungufu lakini bado wakawepo kwenye utawala husika kisha kusubiri kiongozi wao apige teke kapu ndio wanaanza ukosoaji ni UNAFIKI, UZANDIKI, UHASIDI na UHARIFU ambao hauna nafasi kuuvumilia kabisa.Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji.
Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa ndiyo mnakuja kutuonyesha 'kimafumbo' kuwa mlikuwa hamkubaliani 'kimaamuzi' kwani wenye akili kubwa tutawatafsiri nyie si tu ni wanafiki bali pia mna 'vielementi' vya uchawi pamoja na vya ufitini pia.
Ninaamini message sent and delivered.
Hivi huo uwekezaji tunaousema ndio kwanza unafanyika Tanzania au umewahi kufanyika? Ni aina gani ya uwekezaji anaouleta ambao ni tofauti na wa Mkapa na Kikwete?Rebranding ina maana pana zaidi ya hulka za makamu kutokuwa muwazi wakati bosi akiwa bado yupo hai.
Aliyekuwa makamu aliona mengi na pengine tuseme alivumilia mengi pia.
Anayo haki ya kuja kivingine kwa maana ya kuboresha zaidi ufanisi wa kile kilichofanywa na mtangulizi.
Akileta wawekezaji wakubwa wa Kilimo na wakazalisha mazao mengi yakatumia reli ya SGR kutoa Mali bara na kuleta bandarini hapo makamu wa zamani anakuwa kaongeza ubora wa kilichoanzishwa na mtangulizi.
Akileta wawekezaji wakazalisha Mali kule Chato na zikasafirishwa na ndege zitakazotua pale makamu atakuwa kaupa ubora uwanja ule.
Naamini makamu wa zamani ana nia njema na nchi lakini siku zote waharibifu wa nchi ni sisi wenyewe.