Tunapoelekea fainali za mashindano ya Afcon. Je, timu zetu za Tanzania zimejifunza kitu?

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Mashindano ya Afcon yanaelekea ukingoni ambapo fainali zitapigwa Jumapili tarehe 11/2.

Hakika mashindano ya mwaka huu 2023/2024 yamekuwa ya kusisimua sana.
Jambo ambalo nataka kuziuliza timu zetu nchini je? Wachezaji wetu mmojifunza angalau mbinu na maarifa ya uchezaji?!! Au ndio bado tumeng'ang'ana na kasumba zetu za mpira wa mchangani?!!

Naamini michuano ya Afcon itakuwa imebadilisha maarifa ya uchezaji wetu.
Tunategemea kushuhudia Ligi zetu za ndani zikiwa bora zaidi.
 
Sidhani kama wamejifunza lolote!

Maana bado wanakabia macho

Rejea mechi ya tabora utd na simba.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom