Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ewe kijana jitathimini sasa.
Mpaka sasa umeshamtumia pesa ya kusuka, pesa ya viatu na mmeshapanga sehemunya kukutana kula bata.
Mpak muda huu Atm ishaumia mara kadhaa kqa ajili ya kumnunulia pamba za sikukuu.
Je umejiuliza mpaka muda huu umemtumia Baba yako na Mama yako kiasi gani?
Panga vipaumbele vyako lakini usisahau aliyekulea na kukufikisha hapo ulipo.
Usiteme Bigijii kwa Karanga za kuonjeshwa.
Nawatakia sikuu kuu njema wadau.