Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa CCM isafishe machawa, wahuni na wanafiki

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Walizoeleka kukiteka chama kipindi cha nyuma kidogo.

Yaani walijidai kuisifia CCM ili wapate uongozi huku wakijivika umaarufu ..eti CCM ikiwatosa watahamia Chadema.
This time around hakuna chama cha kuwabeba wakikosa CCM watakosa na Chadema pia...chadema ni legevu mnooo.

Wana CCM kindakindaki ni muda wa kusimama imara na kusimama na wananchi.

Wananchi wameona maendeleo wananchi wamewatambua vigeu geu na chawa...wananchi wanao uelewa kamilifu wa nani mkweli na nani muongo.

Hakuna hofu tena kwamba CCM itaibuka mshindi kwa asilimia zaidi ya 95 katika nyanja zote na hivyo basi hii ni fursa ya kuwanyoosha criminals wote.

#siorangi ya paka
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Naunga mkono hoja.....
 
Tatizo CCM ilishakuwa kichaka cha wezi kuiba kwa amani!
Ni ngumu sana kusafisha kwa sababu the whole system imeoza
 
Safari hii wakifukuzwa CCM au kukatwa majina Chadema haitawachukua imeumizwa mno na mamluki yatokayo ccm bora umpokee mwanachama kutoka cuf au nccr
 
Chawa mwingine kazini zaidi ya hata unaowasema. Pole sana! Haujaona vyama vingine vya kutaja ila chama kinachowanyima usingizi CHADEMA na utaweweseka sana. Si unasema chama dhaifu? Unakijadili cha nn si ujadili chama unachoona kina nguvu?
 
Walizoeleka kukiteka chama kipindi cha nyuma kidogo.

Yaani walijidai kuisifia CCM ili wapate uongozi huku wakijivika umaarufu ..eti CCM ikiwatosa watahamia Chadema.
This time around hakuna chama cha kuwabeba wakikosa CCM watakosa na Chadema pia...chadema ni legevu mnooo.

Wana CCM kindakindaki ni muda wa kusimama imara na kusimama na wananchi.

Wananchi wameona maendeleo wananchi wamewatambua vigeu geu na chawa...wananchi wanao uelewa kamilifu wa nani mkweli na nani muongo.

Hakuna hofu tena kwamba CCM itaibuka mshindi kwa asilimia zaidi ya 95 katika nyanja zote na hivyo basi hii ni fursa ya kuwanyoosha criminals wote.

#siorangi ya paka
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ni kweli ccm itaibuka washindi, maana wananchi wanaojitambua hawana muda tena wa kujitokeza kushiriki chaguzi za kishenzi.
 
Walizoeleka kukiteka chama kipindi cha nyuma kidogo.

Yaani walijidai kuisifia CCM ili wapate uongozi huku wakijivika umaarufu ..eti CCM ikiwatosa watahamia Chadema.
This time around hakuna chama cha kuwabeba wakikosa CCM watakosa na Chadema pia...chadema ni legevu mnooo.

Wana CCM kindakindaki ni muda wa kusimama imara na kusimama na wananchi.

Wananchi wameona maendeleo wananchi wamewatambua vigeu geu na chawa...wananchi wanao uelewa kamilifu wa nani mkweli na nani muongo.

Hakuna hofu tena kwamba CCM itaibuka mshindi kwa asilimia zaidi ya 95 katika nyanja zote na hivyo basi hii ni fursa ya kuwanyoosha criminals wote.

#siorangi ya paka
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kuwa chawa Mkuu kama unaoumia
 
Back
Top Bottom