Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
"Sitapenda tena. Mara ya mwisho nilipopenda, ilikaribia kugharimu kazi yangu na nadhani ndoa inaweza kufanya vibaya." Chris Brown
"Ninaelewa ndoa ni nini lakini sitaki kuoa kwa sababu ni ukatili sana kwa wanaume endapo mtaachana. Ninaelewa ndoa lakini sidhani kama inafaa kwa wanaume. Sio kama siwezi kudumu na mpenzi mmoja kwa maisha yangu yote lakini kuwa kwenye mahusiano kuna mengi sana. Wote mshawahi kuniona nikiwa kwenye mahusiano lakini karibu inicõst mimi kazi yangu. Hivyo imenifanya nitambue kuwa mapenzi si ishu kwangu. Watu pekee naowapenda kwa sasa ni watoto wangu. Ninafocuse kwa watoto wangu hivi sasa na siwezi kuruhusu mwanamke yeyote anidanganye." Chris Brown