GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haya haya Watanzania ' hala hala ' tunapoenda Kujipumzisha sasa ( Usiku huu ) hebu tukumbuke Kuzima Simu zetu au Kufuta kabisa Meseji zetu zote tulizochati leo kwani ule muda wa Mwenzetu mmoja hivi Kutokulala kwa kutopataka Kwake Usingizi na ' Kutudukua ' ndiyo umewadia hivyo.
Msiseme kuwa sijawakumbusha halafu Kesho mkiumbuliwa JNIA mnavyochati hovyo mlalamike!
Nawasilisha.
Msiseme kuwa sijawakumbusha halafu Kesho mkiumbuliwa JNIA mnavyochati hovyo mlalamike!
Nawasilisha.