GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu. Nina miezi kama 3 nipo mbali na TVInasikitisha mwanaume kujitapa kusoma text za wanaume wenzako tena Lina ongea kwa mahaba likizani sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala Ujakosea kabsa..Mkuu. Nina miezi kama 3 nipo mbali na TV
Mnamuongelea stone au ? Maana nimeona pia kwenye uzi fulani unaongelea hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna kiongozi wa ajabu ijawai tokea yani mtu anaingilia faragha za watu wakati ni kinyume cha sheria yeye anajisifu kuvunja katiba halafu kuna wa phd wanamsifu.
Ni za wanawake wale tena wa kitangaInasikitisha mwanaume kujitapa kusoma text za wanaume wenzako tena Lina ongea kwa mahaba likizani sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazani uo nikama mfano.. imeonesha amna aliye salama. Means ana data za kila mtu
Nasikia kuna dawa ukipaka usoni watu wote utawaona hawana nguo, na hii dawa nasikia inapatikana usukumani, jamaa anavyopenda chabo huenda anaitumia kudukua miili yetu.Inasikitisha mwanaume kujitapa kusoma text za wanaume wenzako tena Lina ongea kwa mahaba likizani sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hili suala mbona umelikomalia sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia kuna dawa ukipaka usoni watu wote utawaona hawana nguo, na hii dawa nasikia inapatikana usukumani, jamaa anavyopenda chabo huenda anaitumia kudukua miili yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nimecheka sana mkuuKwahiyo hata ' Watendaji ' wa Kiume wenye ' tubamia ' ameshawajua na labda anawatafutia tu ' timing ' awape ' Makavu ' yao au?
Jiwe ndo anakuweka ?Kwa jinsi anavyoniweka Sina haja kabisa ya kuwa na makando makando ashike tu simu yangu hata asafiri nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe kwanini unamfuatilia sana "mkuu"?[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hili suala mbona umelikomalia sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mgeni humu! Waulize wenyeji.