Ishu kama hii ingetokea huko kwenye nchi za wanaojielewa na kuelewa haki zao ingekuwa bonge moja la skandali,lakini huku kwetu ni tukio la kujadiliwa kidogo kisha linawekwa pembeni kujadili matukio mapya.
Tuna kiongozi wa ajabu ijawai tokea yani mtu anaingilia faragha za watu wakati ni kinyume cha sheria yeye anajisifu kuvunja katiba halafu kuna wa phd wanamsifu.