Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Jeshi la polisi chini ya Simon Sirro limeozaYaani wakati wengine tukisubiria tu kwenda kuiona pepo ya milele muda utakapo fika, siyo kwa ndugu zetu polisi (walio wengi)!
Hawa jamaa wanashiriki kwenye matukio/matendo mengi sana ya uonevu kwa kutumia tu mgongo wa kazi yao.