Niaonayo yanayoendelea hapa Tanzania uko mbele urais wa Tanzania utakuwa kitu cha kawaida na utakosa thamani .
Kwa sasa urais wa Tanzania ndio unatafuta umaarufu badala ya umaarufu kuufuata urais .
Ndio maana uelekeo wa siasa za Tanzania ni kutafuta umaarufu kwa gharama yoyote hata kwa kutumia wasanii na watu maarufu kwa lugha ya sasa wanaitwa machawa.
Ndio maana kwa uelekeo wa sasa kila mtu anaona anaweza kuwa Rais wa Tanzania kwa sababu imeonekana ni kitu cha kawaida na taasisi ya urais imepoteza ile nguvu yake ya asili imetekwa na nguvu ya machawa.