Tunapoficha makosa ya Diamond kwa kisingizio cha uzalendo

Tunapoficha makosa ya Diamond kwa kisingizio cha uzalendo

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
Binafsi nimekuwa nikifuatilia hili suala la Diamond kuwa na msuguano na Davido tokea ushindi wa Idris Big Brother na nikiri kuwa Diamond hakupaswa kusema aliyosema dhidi ya Davido kwa sake ya urafiki wao!

Kwanini nasema hivyo? coz thamani ya urafiki waliokuwa nayo haiwezi kupotezwa kirahisi hivyo ingawa kuna watu wanafurahia tena kwa sababu za kitoto, kwa wale walioishasoma novel ya godfather nadhani wananielewa ninapozungumzia thamani ya urafiki! Kwani urafiki ni kama kula tunda na ukimaliza kuipanda mbegu yake ili siku utakapohitaji tena tunda uwe na sehem pa kulipata.

Sasa ninachoona ni giza kubwa mbele yetu sie mashabiki wa Diamond hatuoni ukweli tumejikinga kwenye kivuli cha uzalendo, hatutaki kukubali kuwa Davido kasaidia kupush mafanikio ya Diamond kwa kiasi fulani, mara baada ya number one rmx kutoka milango ilianza kufunguka kwa kasi kwa Diamond na hili wengi hatulioni bado tumefunikwa na kivuli cha uzalendo hatusimami kwny fact! ukitaka kuamini hili nenda youtube kaangalie number one rmx imeangaliwa na watu wangapi dhidi ya original version!

Kwa taarifa yako kuna gape la watu zaidi ya million mbili. Ndyo tunakubal Davido siyo mungu so Diamond hana haja ya kumtetemekea lakini kwa hili alipaswa kuonyesha heshima angalau kidogo kwani alichofanya ni ukosefu wa fadhila wa hali ya juu. mwisho na suggest Diamond afanye mpango amalize hili suala hata kama ni kimya kimya ili kuondoa tension iliyopo sasa.
 
binafsi nimekuwa nikifuatilia hili suala la diamond kuwa na msuguano na davido tokea ushindi wa idris big brother na nikiri kuwa diamond hakupaswa kusema aliyosema dhidi ya davido kwa sake ya urafiki wao!!, kwanini nasema ivo coz thamani ya urafiki waliokuwa nayo haiwez kupotezwa kirahisi ivo ingawa kuna watu wanafurahia tena kwa sababu za kitoto, kwa wale walioishasoma novel ya godfather nadhani wananielewa ninapozungumzia thamani ya urafiki! kwani urafiki ni km kula tunda na ukimaliza kuipanda mbegu yake ili siku utakapohitaji tena tunda uwe na sehem pa kulipata.sasa ninachoona ni giza kubwa mbele yetu sie mashabiki wa diamond hatuoni ukweli tumejikinga kwny kivuli cha uzalendo hatutaki kukubali kuwa davido kasaidia kupush mafanikio ya diamond kwa kiasi fulani, mara baada ya number one rmx kutoka milango ilianza kufunguka kwa kasi kwa diamond na hili wengi hatulioni bado tumefunikwa na kivuli cha uzalendo hatusimami kwny fact! ukitaka kuamini hili nenda youtube kaangalie number one rmx imeangaliwa na watu wangapi dhidi ya original version!!....kwa taarifa yako kuna gape la watu zaidi ya million mbili!,,,ndyo tunakubal davido siyo mungu so diamond hana haja ya kumtetemekea lakini kwa hili alipaswa kuonyesha heshima angalau kidogo kwani alichofanya ni ukosefu wa fadhila wa hali ya juu. mwisho na suggest diamond afanye mpango amalize hili suala hta km ni kimya kimya ili kuondoa tension iliyopo sasa

Mi mwnyw sijapenda asee Dai na davido wamalize tofauti tu
 
mkuu umeongea kweli tupu ingawa kuna watu hawatokubali
 
Mtu akikupa msaada huna budi kumshukuru haswa kwa msaada ambao obo alimpa diamond ambao umemsaidia kumpush mahala flan but ndio isiwe sababu ya utumwa.Uingereza wanatusaidia sana ila ikafika kipindi walitushinikiza tuzitambue haki za mashoga this is wack shit ndio maana serikali iligoma.Ukweli utabaki palepale Diamond kakosea na davido nae ana makosa kila mmoja anapaswa kuomba radhi sasa nawashangaa mnapomshikia bango Diamond pekee...
 
Mtu akikupa msaada huna budi kumshukuru haswa kwa msaada ambao obo alimpa diamond ambao umemsaidia kumpush mahala flan but ndio isiwe sababu ya utumwa.Uingereza wanatusaidia sana ila ikafika kipindi walitushinikiza tuzitambue haki za mashoga this is wack shit ndio maana serikali iligoma.Ukweli utabaki palepale Diamond kakosea na davido nae ana makosa kila mmoja anapaswa kuomba radhi sasa nawashangaa mnapomshikia bango Diamond pekee...[/QUOT

ishu ilikuwa davido na big brother diamond ilikuwaje kuingilia na maneno ya shombo ? kwani angepiga kimya angeumwa
 
Diamond kupendwa kunampa wehu badala ya nidhamu na heshima. Bwana mdogo tahadhari ukiwa juu jilinde usidondoke.
 
Mtu akikupa msaada huna budi kumshukuru haswa kwa msaada ambao obo alimpa diamond ambao umemsaidia kumpush mahala flan but ndio isiwe sababu ya utumwa.Uingereza wanatusaidia sana ila ikafika kipindi walitushinikiza tuzitambue haki za mashoga this is wack shit ndio maana serikali iligoma.Ukweli utabaki palepale Diamond kakosea na davido nae ana makosa kila mmoja anapaswa kuomba radhi sasa nawashangaa mnapomshikia bango Diamond pekee...[/QUOT

ishu ilikuwa davido na big brother diamond ilikuwaje kuingilia na maneno ya shombo ? kwani angepiga kimya angeumwa

Mkuu kwahyo unajarbu kutuaminsha kua we cheated again in bba hotshots? Davido kakosea kumbka alieshnda na Tanzania n not idris alone n mind u kulikua na whole east Africa plus Namibia so all of these countries they cheated
Tuache uoga davido kumsaidia diamond its okay tunashukuru but isiwe ndio utumwa...
Kama huyo diamond angetoa hyo remx na davdo then Akakaa tu Leo tungesema diamond in big artist
Watanzania tuache unyonge bwana davido was wrong n he deserve that comment too
 
Mkubwa em nisaidie, kuna mahala Diamond kamtukana davido.??

mashabiki wa diamond walimtukania davido mama yake kwa kumwambia maza f****cker ,https://jamii.app/JFUserGuide u na nk walitujaka kwa niaba ya diamond watu wanadai dimond aliwatuma watukane
 
Who is davido??? By the way

Acheni upumbavu wa kumtetemekea davido, kwanini atuambie tumedanganya??? Katuzarau nayeye kazarauliwa na daimond...ful stop
 
Tatizo hao hao ndio watakao furahia dai kipind akishuka hekima hushinda adui kwani angesema kama kupongeza wote walimbust kufika hapo kiburi cha mafanikio hicho kamkrash leo dav kesh zam yenu wote mnao mcfu leo kummmm
 
mashabiki wa diamond walimtukania davido mama yake kwa kumwambia maza f****cker ,https://jamii.app/JFUserGuide u na nk walitujaka kwa niaba ya diamond watu wanadai dimond aliwatuma watukane

Kumbe ni mashabik. Sasa kwanin mwaendelea mtajataja DIAMOND.
 
Kila mwenye mafanikio kuna mtu aliyemfanya afikie hayo mafanikio.hata wewe mwanzisha mada kuna mtu aliyekufikisha hapo ulipo.nikuulize swali siku ukigombana na aliyekupandisha ndio utaanza kushuka?
 
Mkuu kwahyo unajarbu kutuaminsha kua we cheated again in bba hotshots? Davido kakosea kumbka alieshnda na Tanzania n not idris alone n mind u kulikua na whole east Africa plus Namibia so all of these countries they cheated
Tuache uoga davido kumsaidia diamond its okay tunashukuru but isiwe ndio utumwa...
Kama huyo diamond angetoa hyo remx na davdo then Akakaa tu Leo tungesema diamond in big artist
Watanzania tuache unyonge bwana davido was wrong n he deserve that comment too

tatizo mihemko imekujaa heb relax kwanza! davido aliwadiss waandaaji na si idrissa hii ina maana hta km mnamibia angeshinda hyo tweet ingebak the same
 
itakua davido anajua dimond na bilionea zari walichofanya huko south hadi daimond akapata tuzo ndio maana ameona ni upuuzi tu
 
Kila mwenye mafanikio kuna mtu aliyemfanya afikie hayo mafanikio.hata wewe mwanzisha mada kuna mtu aliyekufikisha hapo ulipo.nikuulize swali siku ukigombana na aliyekupandisha ndio utaanza kushuka?

mkuu mi cjazungumzia kushuka kwa mtu hebu soma vizuri hyo thread
 
Back
Top Bottom