Tunapofungua au kufunguliwa soda, mbona tunafuta kwa kidole ‘mdomo’ wa chupa?

Chupa ya kigae inaweza kuwa na damage kwa usalama wa mdomo na maisha ni bora uguse kubaini kuwa chupa haikuvunjika?
 
Unajifanya makini sana na maisha, habari njema ni kwamba hautozikwa nayo.
 
Kuna siku nilkuwa nafuta kwa mkono kama vile nafungua mfuniko wa chupa uliokuwa umekazwa, kumbe mdomo wa chupa ulikuwa umepasuka wakati inafunguliwa dah! Ilkuwa kama nimepitisha wembe mkononi
 
Halafu hili lina ukweli..mimi nilidhani naona mimi peke yangu yaani soda zilizohifadhiwa kwenye plaatic ni tofauti sana na chupa za kioo.
Careem
Soda za ‘plastic’ zipo mkuu, lakini ladha yake ni tofauti kabisa aisee... yaani ni ya hovyo.

Kuhusu sababu ya kutu na chupa kumeguka ina-make sense, nakubali.
 
Kuna siku nilkuwa nafuta kwa mkono kama vile nafungua mfuniko wa chupa uliokuwa umekazwa, kumbe mdomo wa chupa ulikuwa umepasuka wakati inafunguliwa dah! Ilkuwa kama nimepitisha wembe mkononi

Hapo ulijiokoa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…