PostGE2025 Tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu ambao hawajitambui muwe mnaelewa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
CCM ni chama cha magaidi, kinaongoza hii nchi kwa kumwaga damu za watu. It is a terrorist organisation.
Mbona kama mmeumia sana? Yaani mlitakaje? Rais aje aombe msamaha? Aje kuwabembeleza?

Yaani mchochee vurugu na kuchoma mali za watu halafu mtegemee mbembelezwe? Nyie ni magaidi na perpetrators wa machafuko uliyoita maandamano

Mmepewa salamu kuwa kama mnaweza andamaneni tu hiyo siku ya Krismasi halafu muone!..
 
Vyama vyote ni wqpuuzi tu bora hata CCM.

Huko chadema mliponda sana lowasa badaye mkaja kumpambania.

Mlisema magufuli dikitete leo samia ni mbaya tena.

Wapuuzi nyie chadema.

Badala ya kuchochea maandamano ya kikatiba mkacjochea maandamano ya uharibifu na watu kufa.

N8nacho kiona ni kama kile cha libya ndicho wapuuzi wengi wanakitaka kitokee.

Mtu naakili zako unamsikiliza Mange( mpuuzi sana huyu *****) yuko huko anauza kikojoleo wewe pwagu na pwaguzi unaishi kwa kuungaunga kama nungunugu unaenda kuandamana kifala unaiba unachoma. Upuuzi sana.

kama taifa tukikosa maarifa Tutaliangamiza na kila mtu atajutia ujinga na upuuzi.
 
1. Wewe ndiye hasa mwendawazimu 100%

2. Watu mnaojitangaza kuwa ni "serikali" ili kututawala kwa maguvu wakati mmepitia ktk mchakato haramu ambao nyie washenzi na mafirauni mnaita "uchaguzi".
Tunasema HAPANA na hii si ya CHADEMA bali ni HAPANA ya wananchi wote kasoro nyie washenzi wachache wa CCM mtandao mnaojiita "serikali...!!"

3. CHADEMA walikataa mchakato mzima wa uchaguzi na hivyo kutoshiriki kabisa na toka mwanzo walisema unaokwenda kufanyika si uchaguzi bali ni uchafuzi na ni kweli nchi na taifa letu limeyiwa unajisi na kuchafuliwa kwa damu za Watanzania wenzetu zaidi ya 10,000 ili tu Samia ajilazimishe kwetu kama Rais wa nchi na setikali

4. Mngekuwa na akili, mngeweza kutumia fursa ya CHADEMA kutoshiriki uchafu wenu kwa kufanya uchaguzi safi unaoonekana ili baadae muwe na hoja ya kuwasuta. Lakini nyie washenzi msio na akili, makaendelea kujiibia wenyewe kwa wenyewe na kuharibu kila kitu...

5. Kwa hakika mmekataliwa na mtapingwa na kila mtu mwenye akili timamu hapa nchini na duniani kote. Na mbingu kuu ya Mungu wetu wa HAKI amemkataa Samia na amewakataa nyie nyote...!;

CCM mtandao nyie ni washenzi na hamfai hata kwa kulumangia. Na hakika mtakufa wote kwa sababu ya dhambi hii!!
 
Tunawaelewa cdm kuliko mmavyoweza kudhania. Sasa kama mnasema watu watatu huko nje wameeleweka kuliko ccm chawa wake, itakuwa hao cdm chini ya mwamba Lisu?
 
Sio kuomba msamaha, yule ni rais haramu, watanzania hawamtaki. So anatakiwa apishe akasubiri kunyongwa.
 
Wewe ni kuku
 
Maria Sarungi mwendawazimu eti anataka watu waaandamane tarehe 25 na siku ya mwaka mpya.. Hivi anawachukuliaje watanzania?Kwamba hawana kazi ya kufanya yaani kazi yao ni kuandamana tu!
😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…