nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,801
Tunaposema tunaonewa na kuwaangalia wengine kwa jicho baya la chuki, je, tunaiangaliaje historia yetu kwa jicho lenye ukweli?
Waarabu walikuja kwenye nchi yetu miaka takriban 1000 iliyopita, Wazungu walikuja miaka 300 tu hivi iliyopita. Wote hawa walikuja kwa lengo moja la kutafuta mali (kutunyonya) na kuleta tamaduni na dini zao. Je, yepi ya ziada na ya maana kwetu walifanya?