Tunaposema Watanzania tumeshindikana tuwe Tunaelewa

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924

Koment ya huyo sasa apo imeniacha hoi! Mtu unakaa unavuta taswira ya kuwaza vitu vingine tofauti, unajishauri ukaombe urafiki au yeye mwenyewe kwenye profile picture, huamini?
 
View attachment 1482588
Koment ya huyo sasa apo imeniacha hoi! Mtu unakaa unavuta taswira ya kuwaza vitu vingine tofauti, unajishauri ukaombe urafiki au yeye mwenyewe kwenye profile picture, huamini?
ukisikia majaribu ndo hayo . ila siyo mbaya wacha aletwe ndani tule wali nyama badala ya wali maharage kila siku
 
Mkuu umeniacha hoi kweli! Haa haaa haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…