Pre GE2025 Tunaposhangaa Chadema kukosa Mtu wa kumrithi Mbowe Tukumbuke hata CCM hawana Mrithi wa Chongolo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Haya mambo ukiyaangalia kwa juu juu unaweza kudhani ni mepesi Kumbe Siyo

Kumpata Mtu wa Kuvaa Viatu Vya Kiongozi makini anayeondoka Siyo jambo jepesi

Kama unabisha kawaulize Manchester United 🐼

Merry Christmas 😀
 
Lakini Chongolo kaonesha mfano hata kama mrithi hajapatikana.

Na Mbowe apishe ili umma uthinibitishe kwamba hakuna mrithi!!
 
Mbowe alishatangaza kung'atuka lakini chama kimekaa kimyaaaa hata Ratiba ya uchaguzi haitangazwi
 
Haya mambo ukiyaangalia kwa juu juu unaweza kudhani ni mepesi Kumbe Siyo

Kumpata Mtu wa Kuvaa Viatu Vya Kiongozi makini anayeondoka Siyo jambo jepesi

Kama unabisha kawaulize Manchester United 🐼

Merry Christmas 😀
Inawezekana vipi kampuni binafsi ikarithiwa na wasiokuwa wanandugu?
 
Haya mambo ukiyaangalia kwa juu juu unaweza kudhani ni mepesi Kumbe Siyo

Kumpata Mtu wa Kuvaa Viatu Vya Kiongozi makini anayeondoka Siyo jambo jepesi

Kama unabisha kawaulize Manchester United 🐼

Merry Christmas 😀
Ccm Ina watu wengi tuu kama Polepole nk ila shida Yao ya CCM ni mambo ya makundi tuu sio watu.
 
Back
Top Bottom