johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lakini Chongolo kaonesha mfano hata kama mrithi hajapatikana.Haya mambo ukiyaangalia kwa juu juu unaweza kudhani ni mepesi Kumbe Siyo
Kumpata Mtu wa Kuvaa Viatu Vya Kiongozi makini anayeondoka Siyo jambo jepesi
Kama unabisha kawaulize Manchester United πΌ
Merry Christmas π
Mbowe alishatangaza kung'atuka lakini chama kimekaa kimyaaaa hata Ratiba ya uchaguzi haitangazwiLakini Chongolo kaonesha mfano hata kama mrithi hajapatikana.
Na Mbowe apishe ili umma uthinibitishe kwamba hakuna mrithi!!
Ratiba ya uchaguzi itangazwe kwa matakwa yako au matakwa ya chama? Wewe fatilia ratiba Za lumumba.Mbowe alishatangaza kung'atuka lakini chama kimekaa kimyaaaa hata Ratiba ya uchaguzi haitangazwi
HayaRatiba ya uchaguzi itangazwe kwa matakwa yako au matakwa ya chama? Wewe fatilia ratiba Za lumumba.
Chama kitangaze ratiba ya uchaguzi kujaza nafasi ambayo haiko wazi? Labda nccr peke yake ndiyo wanaweza kufanya hivyo!Mbowe alishatangaza kung'atuka lakini chama kimekaa kimyaaaa hata Ratiba ya uchaguzi haitangazwi
Inawezekana vipi kampuni binafsi ikarithiwa na wasiokuwa wanandugu?Haya mambo ukiyaangalia kwa juu juu unaweza kudhani ni mepesi Kumbe Siyo
Kumpata Mtu wa Kuvaa Viatu Vya Kiongozi makini anayeondoka Siyo jambo jepesi
Kama unabisha kawaulize Manchester United πΌ
Merry Christmas π
Ccm Ina watu wengi tuu kama Polepole nk ila shida Yao ya CCM ni mambo ya makundi tuu sio watu.Haya mambo ukiyaangalia kwa juu juu unaweza kudhani ni mepesi Kumbe Siyo
Kumpata Mtu wa Kuvaa Viatu Vya Kiongozi makini anayeondoka Siyo jambo jepesi
Kama unabisha kawaulize Manchester United πΌ
Merry Christmas π
Kama kwenye uchaguzi wa kidemokrasia tunaambiwa sumu haionjwi kwa ulimi, huyo atakayetangaza nafasi ya mfalme kuwa wazi naona umemchoka!Mbowe alishatangaza kung'atuka lakini chama kimekaa kimyaaaa hata Ratiba ya uchaguzi haitangazwi