Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

Rafiki yangu Mimi nasema tunaidai Tanesco wewe ukatae ukubali haitafuta Deni hili!!...
 
Unaanza Kwa kusema hatudai alafu mwisho unasem a inadaiwa sasa ukiacha story za vijiweni na kuleta siasa chafu kwenye sekta hii utakubaliana na Mimi kwamba madeni hamlipi na huku mmepunguziwa bei ya umeme ili mpate Faida lakini bado mnamadeni makubwa hata miaka 20 ijayo bado hamtaweza kulipa labda mkubali Sekta binafsi ichukue shirika hili!!..
 
Mnapenda kuweka siasa kwenye biashara za watu!!..Eti Tanesco sasa hivi hainunui umeme Kwa watu binafsi!!!..JPM aliweza kufanya Tanesco ijitegemee!!..Sijasikia JPM alilipa Madeni yote ya Tanesco!! Unajua kweli au propoganda ndio zimekumeza!!..
 
Mnapenda kuweka siasa kwenye biashara za watu!!..Eti Tanesco sasa hivi hainunui umeme Kwa watu binafsi!!!..JPM aliweza kufanya Tanesco ijitegemee!!..Sijasikia JPM alilipa Madeni yote ya Tanesco!! Unajua kweli au propoganda ndio zimekumeza!!..
Kwanza ujue biashara za watu ni siasa. Siasa haiepukiki ni mfumo wa maisha. Siasa ni uchumi kama hujui. Usitumie huo usemi tena eti siasa kwenye biashara zetu. Bila watu utafanya biashara wewe?
 
Mashirika kama Tanesco, Maji, Viwanja vya Ndege na Mawasiliano wapewe Jeshi kuyaendesha kwa usalama wa Nchi na matokeo yataonekana, kule hamna siasa ni nidhamu tu na utekelezaji.
 
january na zitto ni madalali wanatakiwa wachunguzwe na takukuru kwa uhujumu uchumi
 
Waje watafute vianzo vyao wazalishe umeme wao na kuuza sio kutegemea kitonga kwa mserereko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…