Tunaprint t-shirt kofia na pvc identification card kwa bei ya awamu ya tano

Tunaprint t-shirt kofia na pvc identification card kwa bei ya awamu ya tano

Al-akhdally

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
96
Reaction score
119
Rationale solution tupo hapa kwa ajili yako.

Njoo tukuhudumie, tunatoa huduma za kuprint TSHIRT, KOFIA , NA VITAMBULISHO KWA BEI POA SANA.

TUPIGIE TUTAKUFATA POPOTE ULIPO,
BEI ZETU NI MAELEWANO KULINGANA NA UKUBWA WA KAZI, KWA MAELEZO ZAID PIGA NAMBA 0783973428.
TUPO KISUTU BIBITITI MOHAMED

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama hutaji bei watu wanapata mashaka na ubora wa bidhaa zako pia no kiashiria cha udalali,utapeli na kushindwa kujiamini,
kikubwa weka bei ya each product then unasema kama kuna punguzo kwa watakaobuy mzigo kuanzia kadhaa,
MWAKA 2020 WATANZANIA TUACHE BIASHARA ZA MASHAKAMASHAKA
 
Habari bila picha ni umbea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndo baadhi ya kazi zetu. Karibuni sana wadau.
IMG-20200107-WA0026~2.jpeg
IMG-20200107-WA0027~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni wadau wetu, we have january offa kwa flana kuanzia 10pc tutakuprintia kwa 11000/= tu.
Vitambulisho kuanzia 50 tutakufanyia kwa 2500/=

Ofa yetu mwisho 31/01/2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rationale solution tupo hapa kwa ajili yako.

Njoo tukuhudumie, tunatoa huduma za kuprint TSHIRT, KOFIA , NA VITAMBULISHO KWA BEI POA SANA.

TUPIGIE TUTAKUFATA POPOTE ULIPO,
BEI ZETU NI MAELEWANO KULINGANA NA UKUBWA WA KAZI, KWA MAELEZO ZAID PIGA NAMBA 0783973428.
TUPO KAEIAKOO MTAA LIVINGSTON

Sent using Jamii Forums mobile app
Huduma zetu BADO zinaendelea. Karibuni wadau
 
Kazi bado inaendelea wakuu..
Nimeongea mashine ya kuprint kamba za kuvaa shingoni kwa ajili ya card holder..
Cards 3000/=
Holder+kamba ilichorwa nembo 3000/=
So Bei ya kitambulisho+holder+printed kamba. Bei 6,000/=

Karibuni
 
Kazi bado inaendelea wakuu..
Nimeongea mashine ya kuprint kamba za kuvaa shingoni kwa ajili ya card holder..
Cards 3000/=
Holder ya kawaida 1000
kamba ilichorwa nembo/jina la campuni yako 2000/=

Karibuni kwa huduma safi ndani ya masaa 24 umepata kazi yako kwa uaminifu wa kiwango Cha lami. Free delivery popote nchini hadi mikoani natuma
 
Back
Top Bottom