Al-akhdally
Member
- Jul 3, 2018
- 96
- 119
Bei zet ni 14k kwa flana Za coller na 12k kwa flana za round coller. Material cotton 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Al-akhdally,Bei zet ni 14k kwa flana Za coller na 12k kwa flana za round coller. Material cotton 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia spelling .Sileti kazi kwenu mtakosea kuandika.ona hiyo kariakoo ulivyoandika na hiyo Livingstone yako hovyo kabisa ukipewa kazi ya ku print sign itakuwa shida tupu
Angalia spelling .Sileti kazi kwenu mtakosea kuandika.ona hiyo kariakoo ulivyoandika na hiyo Livingstone yako hovyo kabisa ukipewa kazi ya ku print sign itakuwa shida tupu
Huduma zetu BADO zinaendelea. Karibuni wadauRationale solution tupo hapa kwa ajili yako.
Njoo tukuhudumie, tunatoa huduma za kuprint TSHIRT, KOFIA , NA VITAMBULISHO KWA BEI POA SANA.
TUPIGIE TUTAKUFATA POPOTE ULIPO,
BEI ZETU NI MAELEWANO KULINGANA NA UKUBWA WA KAZI, KWA MAELEZO ZAID PIGA NAMBA 0783973428.
TUPO KAEIAKOO MTAA LIVINGSTON
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi bado inaendelea wakuu..
Nimeongea mashine ya kuprint kamba za kuvaa shingoni kwa ajili ya card holder..
Cards 3000/=
Holder ya kawaida 1000
kamba ilichorwa nembo/jina la campuni yako 2000/=
Karibuni kwa huduma safi ndani ya masaa 24 umepata kazi yako kwa uaminifu wa kiwango Cha lami. Free delivery popote nchini hadi mikoani natuma