Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 129
- 689
Uwezo wa Kufikiri wa VIONGOZI na CCM UMEFIKA MWISHO.Dar es Salaam ni Jiji lenye harakati nyingi sana ila foleni mjini imekuwa kero ukiunganisha na joto lilipo hapa.
Je, tunafanya nini ili kupunguza foleni katika jiji hili maana kupanua barabara pekee sioni kama ni suluhisho la moja kwa moja...