Tunarudi katika mfumo wa chama kimoja.

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Vyama vya upinzani ni demokrasia na ni chachu ya kuleta maendeleo.Ni kama vile zilivyo dini mbalimbali na waumini wake.Kwa Tanzania vyama vya upinzani imekua ni uadui mkubwa na uhasama usiokwisha.Wapinzani nao wamejaa mamluki kibao wakijifanya ni wa vyama husika kumbe wanaharibu vyama husika.Nashauri kama mwananchi wa kawaida,kama upinzani umekua mwiba turudi mfumo wa chama kimoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliyewahi kuziona nyakati za chama kimoja kabla ya mwaka 1992 (pengine na wewe ulishaziona),naona kabisa mfumo wa chama kimoja haukutufaa kwa wakati ule,na wala hautufai kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…