Tunasafirisha mzigo kutoka DAR kwenda SOUTH AFRICA

f86c7981-7f3d-4825-b5d7-79403bcc34c1.jpg
 
Naomba kujua je gari inafika hadi Cape Town au inaishia mji gani na usalama wa kusafiri vitu upoje maana kuna kampun ukisafirisha vitu wanapita wanafunguafungua mizigo njian, naomba kujua inachukua muda gani gari kufika point ya mwisho, na gharama zenu munachaji kwa kila au kwa mzigo
 
kufungua boss ni ukaguzi siunajua border za watu...week moja gari inakua imefika..gharama ni kwa kilo boss kutokana na rand...rand 45 kwa kilo
 
Back
Top Bottom