Mambo vp ndugu maoni yng kwanini usitengeneze app ya kisasa ya kutoa huduma hii ya kusafirisha mteja akikuitaji aweke oda moja kwa moja kwa ku click link 0714082306
Nasikia Savana zinatoka huko Sasa najiuliza nikiwalipa hela na nikataka walau box kumi ili niwe nakunywa mwenyewe nikiwa kazini Kama juisi mnaweza kuniletea wakuu wangu ?