DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
Hongera, kwa wazo hili, hakika utafanikiwa.Wakuu salama kama kichwa kinaojieleza hapo juu tunatoa huduma ya kusafisha masink yalyofubaa kwa wakazi wa jiji la dar es salaam tunakuja popote ulipo ndani ya jiji hili.
Poa poa mkuuTupia vipicha hata viwili vitatu vya kazi zenu. Likiwa limefubaa na baada ya kulisafisha tuone
nimerekebisha mkuuHizo namba za simu hazipo sawa
ahsanteAll the best mkuu,hua nafurahi sana nikiona mtu anatafuta riziki yake kwa njia ya halali,
Mungu akusimamie mkuu.
tuko vigunguti mkuu tiles kama surface yake ni kama sink tunaweza bei inategemeana na ukubwa wa eneo nitumie picha yake pm tuzione bossMko wapi kwa Dar? Mnasafisha tiles zilizofubaa pia? sh. ngapi?
mjibu huyu nikupe kaziHCL inatumika ila inaharibu masink na kuondoa grout
Situmii acid mkuumjibu huyu nikupe kazi
Situmii acid mkuu acid zinaharibu pia mikono sio nzuri kwa afya
mjibu huyu nikupe kazi
Wanaweka HCL nyingi sana inatoa uchafu wote ila tatizo inaondoa grout, inaondoa rangi za vigae, sink likuwa jeupe ila litapauka sana na hivyo kuanza shika uchafu mara kwa mara...mjibu huyu nikupe kazi