Tunashabikia tusichokijua!

Tikerra

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Posts
1,702
Reaction score
147
Kuna chombo cha habari leo(jina nalihifadhi),kimesema uharibifu wa utando wa 'Ozone' umepungua.Kinachonishangaza mimi ni kwamba chombo hicho cha habari hakiwezi hata ku-verify taarifa hizo kitaalam.Lakini kinatutangazia kwamba hilo limetokea.Naomba vyombo vya habari viwe makini katika kutuletea habari.Visiwe 'mouth pieces' kwa ajili ya mabwenyenye.Kwanza hawana hata nia ya kweli ya kuongeza 'Ozone layer'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…