Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

Sangwa

Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
28
Reaction score
10
Habari Wadau,

Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza,
  • Nguo za Harusi ( Suti na Magauni)
  • Uniform za Maoffisi na Mashuleni
  • Mishono ya Vitenge
  • Casual Wear etc
Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
 
Asante kiongozi nitakuja mwez wa nne hapo Nangurukuru vipi bado mnatumia ile line yenu ya buzz
 
Unafanya biashara gani hiyo isiyo hata na picha za kuwavutia wateja wako?
 
Back
Top Bottom