Tunashughulikia yafuatayo

Tunashughulikia yafuatayo

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Hello,
Kampuni ya KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED, kama kawaida tunaendelea kuwafanya watu mbalimbali wafanye shughuli zao kwa misingi imara ya Kiuratibu na Kiutekelezaji katika shughuli zao za kimaendeleo- kwa maana ya ushauri wa kitaalamu kwa wenye miradi, biashara na taasisi mbalimbali.

Hapa chini ni baadhi tu ya shughuli zetu:- tunafanya kwa niaba yako (sio kwamba hujui ila yawezekana huna rasimali muda ya kutosha, au unataka ufanisi zaidi kwa haraka nk) au kwa ajili yako ( kwakuwa huna uzoefu, au taaluma ya kutosha, kukosa muda au kutokuwa na rasilimali watu ya kutosha nk).

  1. Kuandaa ripoti aina mbalimbali za mradi, biashara au taasisi yako.
  2. Kuandaa mipango kazi ya mwaka katika taasisi au shirika n.k
  3. Kuandaa mipango ya biashara mpya au biashara zinazoendelea (hasa katika kupanua biashara husika)
  4. Kuratibu upatikanaji wa rasilimali fedha kwa ajili ya mradi au biashara yako
  5. Kuandaa ANDIKO la mradi wowote; kijamii na kiuchumi katika maendeleo
  6. Kuandaa na kufanya semina kwa wafanyakazi katika mambo ya msingi ya kufanikisha/kuboresha taasisi husika
  7. Kuandaa ANDIKO la utafiti (research proposals), kutathimini na kuhariri maandiko ya utafiti- kama proof readers na Kufanya data analysis kutumia SPSS nk.
  8. Kuandaa katiba za kuanzishia makampuni na mashirika yasiyo kuwa ya kiserikali (NGOs na vikundi mbalimbali), na Tunaweza kusaidia mchakato wa usajili hadi wewe kupata usajili husika (option)
  9. Kusimamia uanzishwaji na au ufanyaji kazi wa mradi fulani katka eneo la mradi na kutoa ripoti mhimu za kufanikisha malengo ya mradi husika. (project management and reporting)
  10. Kutathimini wazo la mradi na kufanya upembuzi yakinifu kabla ya mradi kuanza.
  11. Kutafuta, kuagiza na kukuletea bidhaa yoyote hitajika, moja au kwa wingi kutoka vyanzo vya nje au ndani ya nchi, ilimradi bidhaa husika ni bora na kwa gharama tunayo kubaliana. (sourcing, ordering and selling/supplying various goods as per customer's demand whether locally made or importing).
NB: KAMPUNI imesajiliwa na ina leseni za hayo yote ( Project Consultancy services and Sourcing and supplying general goods).

Tunahudumia mteja yoyote, popote Tanzania na nje ya nchi (maadamu dunia ni utandawazi)

Kwasasa OFISI za kampuni zipo Mbeya mjini, NA kaunzia Januari tutakuwa Dar es salaam.
Contacts: 0652-656565/0754 734009
Blog KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
Email: kimiconsultancy@gmail.com

  1. Kufanyia kazi wazo/hitaji la mteja lenye uhusiano na Documentation (uandishi wa maandiko mbalimbali kadri ya uhitaji).
 
Unaweza kusaidia mtu anayetaka kuanza biashara ya kuchoma mkaa,lakini anataka ku develop anunue mabasi.?
waweza saidia mtu aina hiyo?
N.B.
Pori lipo na vibali vipo.
 
Unaweza kusaidia mtu anayetaka kuanza biashara ya kuchoma mkaa,lakini anataka ku develop anunue mabasi.?
waweza saidia mtu aina hiyo?
N.B.
Pori lipo na vibali vipo.

Ndg, Biashara ya mkaa, inahitaji vibali, na kama unavyo na una uzoefu au una mtaji na unataka kuanza, then ni dhahiri kuwa inawezekana sana tu kutoka biashara moja kwenda nyingine, au kuwa na zote, ilimradi mtaji wako ukijumlisha na wa kutoka vyanzo vingine utoshe kuanzisha au kupanua biashara yako.

Hatua ya kwanza ni kuliweka wazo lako vizuri kwanza-kuhusu biashara ya mkaa!
  1. je umeanza? lini
  2. una mtaji? kiasi gani, ulikopa au ni wa kwako?
  3. pori liko wapi na umiliki ukoje?
  4. Pori la kupandwa au miti asili?
  5. Vibali vya ukataji unavyo? vinaisha lini?
  6. kama ushawahi kufanya, je una mtaji wa kupanua biashara zako kwenda aina nyingine, mfano mabasi?
  7. Je ushawahi kutumia huduma za kibenki ktk biashara zako?
  8. Je una mwongozo biashara (mpango wa biashara)?
Jibu kwanza hayo kisha Ni PM tuone namna ya kufanya
 
Wadau, karibu kwa huduma zetu; JF member mmoja tayari tunamwandikia Concept paper ya Mradi wake, ambayo anataka kuwashirikisha stakeholders wa mradi wake ili apate momentum na uwezo wa kuanza. Hapo awali alikuwa na idea, ila hakuiweka vizuri hata alipo washirikisha wadau aliodhani ni mhimu ktk kuanzisha mradi, akapata shida, hivyo kwa THREAD YANGU HII, tumeweza kuelewana na kushauriana na hatimaye tumemwandalia document ambayo hata yeye amekubali kuwa in ampa confidence ya kuonana na wadau wake. OFCOURSE hatua zingine zitafuata. KARIBU na wewe tufanya kazi.
 
Back
Top Bottom