Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli


Mnapata kigugumizi. Hii siyo awamu ya tano.

Ukweri mchungu wenye nongwa na awamu ire, ni wengi kweri kweri.
 
Mtahaha sana
 
Mleta mada amewehuka, JPM amepumzika afu unasema unasimama nae! Kama unampenda sana nenda kalale nae na sio kusimama nae.

Kwa sasa tunasimama na Rais mama yetu Samia, na sio Hayati
Kwiiiiishaaaaaaaaa
 
Mbona mathread yenu yasiyo na mbele wala nyuma ndio yamejazana humu ndani!! Maslahi yenu gani yameguswa au yamebanwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Thread zisizo na kichwa Wala miguu kawaulize wenzio huko tangu mama kaapishwa ndo wanazipandisha humu.Tunawapa majibu yenu msipokubali basi andamaneni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…