Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

🤣🤣🤣ko unataka usimame na Marehemu??!!!haya msimamishe basi ili tuone maajabu ya karne😆😆😆
 
Waondoe kabisa,hata mi naona Tena isirudshwe hata Senti ili tu mrudhike.mshaurini mama Hilo pia
MATAGA wenzio wanakuchora jinsi ulivyopandwa pressure kutaka kusimama na hayati, na kwanza kalala. Ufanye yote mawili kulala na kusimama [emoji1787][emoji1787]
 
UPUUZI MTUPU! Nani asimame na dhalimu? 😳😳
 
Hivi mataga bado hamuamini kilichitokea?!,kweli usimtegemee binadam
 
Mnatusumbua na mathread yasiyo na kichwa wala miguu humu.Manfurahisha nafsi zenu na ukweli mnaujua
 
Mi naona mkienda kulala nae kaburini kabisa ndio mtatisha zaidi.
 
Wewe kijana naona unajitekenya halafu unajamba mwenyewe. So sad.
 
Ngoma bado mbichi hii jikazeni wafiwa ....mbona mnahaha bado mapema..yaani mchezee Kodi zetu halafu tuwachekee tu.
Shangaa na wewe, ile ripoti sidhani kama amepitia hata heading aende akaisome pale kwenye mashirika ya umma kwanza.
 
Hasira
 
Unafki ukitamalaki, hupofusha fikra. Kitu ambacho hukijui kuwa huna nafasi tena! Alaaniwe amtumainie mwanadamu..
 
UPUUZI MTUPU! Nani asimame na dhalimu? 😳😳
Mimi si wewe,mbona mzigo napiga Mimi wewe unatoa mihemko.

Wewe nenda muungane na wenzio mkasaini mikataba ya kujenga bandari ya bagamoyo.
Then aloanzisha JPM futeni kabisa
 
Bahati mbaya hata wa kumuuzia anaweza asipatikane, labda kwa bei ya hasara.
Mbona simple tu mshaurini mama auze hizo ndege mgawane hela zisiendelee kututia hasara.
 
[emoji375][emoji3548]Imepenya hiyo
Katiba imetusaidia kufuatilia fedha zetu zinavyotumika na tija yake kwa kutuwekea CAG, leo anaweka wazi kasoro za miradi ya kimkakati inayotumia matrilioni yetu tunasema hafai anatumika[emoji848]

AFRIKA TUMEROGWA?
 
Unafki ukitamalaki, hupofusha fikra. Kitu ambacho hukijui kuwa huna nafasi tena! Alaaniwe amtumainie mwanadamu..
Mimi si mnafiki Kama nyinyi mloongea miaka nenda rudi nchi Haina ndege,nchi Haina umeme wa uhakika,nchi Haina Reli ,viwanda haviendelei kwa ajili ya umeme,foleni zijengwe flyover.
Hapo Nani mnafiki,maana sisi tumepembania mliyoyatamani miaka nenda rudi.
Ndo Mana mnaitwaga wachumia tumbo nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…