Mbona hamna la kushauri Zaid ya mihemuko tu,Mimi nishatoa ushauri Hapo juu.Toa na wewe nn kifanyike
Kapimeni screpa maana si zingatia hasaraa.za nn sasaBahati mbaya hata wa kumuuzia anaweza asipatikane, labda kwa bei ya hasara.
Mwambie huyo kilaza bado haamini chuma kimeangukaMbona mathread yenu yasiyo na mbele wala nyuma ndio yamejazana humu ndani!! Maslahi yenu gani yameguswa au yamebanwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wako nn sasaKatiba imetusaidia kufuatilia fedha zetu zinavyotumika na tija yake kwa kutuwekea CAG, leo anaweka wazi kasoro za miradi ya kimkakati inayotumia matrilioni yetu tunasema hafai anatumika[emoji848]
AFRIKA TUMEROGWA?
Hazitotengenezeka! Zimetengenezwa kwa bahati mbaya siyo!
Binadamu Huzaliwa ,huishi na Kisha kufa.Mwambie huyo kilaza bado haamini chuma kimeanguka
Mimi si wewe,mbona mzigo napiga Mimi wewe unatoa mihemko.
Wewe nenda muungane na wenzio mkasaini mikataba ya kujenga bandari ya bagamoyo.
Then aloanzisha JPM futeni kabisa
Kwa ripoti hii ya CAG, hatumkumbuki" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
Haaa haaaa.. Wajane hawaamini Gari la mkaaa limezima mazima na limetia hasara. Imeisha hiyooo.. 😂Naimani hata unachoandika hujui,yaani wajinga ninyi (Mataga & Praise team) hadi mtatueleza kwanini BLUE BAND ina rangi ya NJANO lakini inaitwa "BLUE" BAND, kifo + CAG = FULL MVURUGIKO.
SISI SIO WANYONGE.View attachment 1747487
Yaani hatumkumbuki Ng'o.. Mtupoli.Kwa ripoti hii ya CAG, hatumkumbuki
Nimekuelewa mkuuVunjeni vunjeni banaa, what's so special for you!
Kisha mkimaliza niende kuchimbua kaburi lake mkamning'inize kwenye kamba mmalize hasira zenu za kipuuzi
Hiyo report ya cag kuhusu ofisi ya makamu wa raisi inasemaje? Acheni utotoUchafu tupa kuleee tuliye naye ni mama msafi hana makandokando
Walizoea zile ripoti za masifa tu...uwongo mwingi ukweli kiduchuShangaa na wewe, ile ripoti sidhani kama amepitia hata heading aende akaisome pale kwenye mashirika ya umma kwanza.
Ok wewe sio mnyonge, kagonge alkasus ujifarijiNaimani hata unachoandika hujui,yaani wajinga ninyi (Mataga & Praise team) hadi mtatueleza kwanini BLUE BAND ina rangi ya NJANO lakini inaitwa "BLUE" BAND, kifo + CAG = FULL MVURUGIKO.
SISI SIO WANYONGE.View attachment 1747487
Zimepigwa zikaenda wapi, je ulifika chato alipokuwa anaishi mshua je unaweza kulinganisha hata tu na speaker?Hizo njia za upigaji amezibana vipi wakati ripoti inaonesha hela kibao zimepigwa?