Tunasubiri kwa hamu pambano la Twaha 'Kiduku' na Dullah 'Mbabe'

Naam, natabiri Twaha Kiduku atashinda, dulla mbabe ana ngumi za fujo fujo tu hamna kitu na hivi katoka kupigwa Urusi ndio kabisa
Kapigwa Uingereza pia, Twaha ni mzuri kuliko Dulla
 
Naam, natabiri Twaha Kiduku atashinda, dulla mbabe ana ngumi za fujo fujo tu hamna kitu na hivi katoka kupigwa Urusi ndio kabisa
Ulimuona alivyotoa mimacho Jana? [emoji16]
 
Naam, natabiri Twaha Kiduku atashinda, dulla mbabe ana ngumi za fujo fujo tu hamna kitu na hivi katoka kupigwa Urusi ndio kabisa
Baada kupigwa kwa KO tena round ya 2 karudi kimya kimya hakuna MTU amejua kaenda kujificha morogoro.
 
bondia mkali tanzania ni twaha kiduku, hao akina dulla, mwakinyo hakuna kitu,
 
Huyo kiduku anapigana kwa mihemko ya mashibiki which is not good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…