Tunasubiri tamko la Mh. Lameck Okambo Airo, Mbunge wa Rorya

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Mhe. Lameck Okambo Airo ni Mbunge wa Rorya kwa awamu mbili toka 2010 -2020.

Mwaka jana aliutangazia umma kuwa atastaafu Ubunge na hatagombea tena katika uchaguzi ujao wa 2020. Wenzako tayari wamekwishautangazia umma kuhusu kung'atuka kwao 2020 lakini pamoja na kuutangzia umma mwaka jana kuwa hutagombea 2020 tunaona bado uko kimya na tamko lako la mwaka jana bado una walakini.

Tunakuomba uutangazie umma uamuzi wako wa kutogombea tena ubunge 2020 kama walivyofanya wenzako.

Rorya tunataka damu mpya.
 
Sasa Koryo 2 , Atatangazia wapi na huwa haongei bungeni ?!. Hao wa bukoba wameongelea bungeni. Huyu wa kwetu ni lini ulimsikia akiongea jambo bungeni ?!.

Odhis *
Achangie kwa maandishi SPIKA atamsemea
 
Sasa Koryo 2 , Atatangazia wapi na huwa haongei bungeni ?!. Hao wa bukoba wameongelea bungeni. Huyu wa kwetu ni lini ulimsikia akiongea jambo bungeni ?!.

Odhis *
Sasa haongei na mnaendelea kumchagua miaka 2 mfululizo!!! huwa anawaloga nini?Au yeye anafanya vitendo sio maneno
 
Mhe. Lameck Okambo Airo ni Mbunge wa Rorya kwa awamu mbili toka 2010 -2020.

Mwaka jana aliutangazia umma kuwa atastaafu Ubunge na hatagombea tena katika uchaguzi ujao wa 2020. Wenzako tayari wamekwishautangazia umma kuhusu kung'atuka kwao 2020 lakini pamoja na kuutangzia umma mwaka jana kuwa hutagombea 2020 tunaona bado uko kimya na tamko lako la mwaka jana bado una walakini.

Tunakuomba uutangazie umma uamuzi wako wa kutogombea tena ubunge 2020 kama walivyofanya wenzako.

Rorya tunataka damu mpya.
Bunge bado halijaisha Mkuu!
 
Wapiga kura wamemuomba aendelee.
Subiri mpaka 2025.
Mhe. Lameck Okambo Airo ni Mbunge wa Rorya kwa awamu mbili toka 2010 -2020.

Mwaka jana aliutangazia umma kuwa atastaafu Ubunge na hatagombea tena katika uchaguzi ujao wa 2020. Wenzako tayari wamekwishautangazia umma kuhusu kung'atuka kwao 2020 lakini pamoja na kuutangzia umma mwaka jana kuwa hutagombea 2020 tunaona bado uko kimya na tamko lako la mwaka jana bado una walakini.

Tunakuomba uutangazie umma uamuzi wako wa kutogombea tena ubunge 2020 kama walivyofanya wenzako.

Rorya tunataka damu mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Koryo 2 , Atatangazia wapi na huwa haongei bungeni ?!. Hao wa bukoba wameongelea bungeni. Huyu wa kwetu ni lini ulimsikia akiongea jambo bungeni ?!.

Odhis *
Zaidi ya kuongelea kwenye wodi za akinamama wajawazito na kuwapekekea pipi.
 
Back
Top Bottom