Sasa Koryo 2 , Atatangazia wapi na huwa haongei bungeni ?!. Hao wa bukoba wameongelea bungeni. Huyu wa kwetu ni lini ulimsikia akiongea jambo bungeni ?!.Kuweni wazi mnataka kila kitu kipya hahahahah.
Achangie kwa maandishi SPIKA atamsemeaSasa Koryo 2 , Atatangazia wapi na huwa haongei bungeni ?!. Hao wa bukoba wameongelea bungeni. Huyu wa kwetu ni lini ulimsikia akiongea jambo bungeni ?!.
Odhis *
Sasa haongei na mnaendelea kumchagua miaka 2 mfululizo!!! huwa anawaloga nini?Au yeye anafanya vitendo sio manenoSasa Koryo 2 , Atatangazia wapi na huwa haongei bungeni ?!. Hao wa bukoba wameongelea bungeni. Huyu wa kwetu ni lini ulimsikia akiongea jambo bungeni ?!.
Odhis *
Bunge bado halijaisha Mkuu!Mhe. Lameck Okambo Airo ni Mbunge wa Rorya kwa awamu mbili toka 2010 -2020.
Mwaka jana aliutangazia umma kuwa atastaafu Ubunge na hatagombea tena katika uchaguzi ujao wa 2020. Wenzako tayari wamekwishautangazia umma kuhusu kung'atuka kwao 2020 lakini pamoja na kuutangzia umma mwaka jana kuwa hutagombea 2020 tunaona bado uko kimya na tamko lako la mwaka jana bado una walakini.
Tunakuomba uutangazie umma uamuzi wako wa kutogombea tena ubunge 2020 kama walivyofanya wenzako.
Rorya tunataka damu mpya.
PesaSasa haongei na mnaendelea kumchagua miaka 2 mfululizo!!! huwa anawaloga nini?Au yeye anafanya vitendo sio maneno
Mhe. Lameck Okambo Airo ni Mbunge wa Rorya kwa awamu mbili toka 2010 -2020.
Mwaka jana aliutangazia umma kuwa atastaafu Ubunge na hatagombea tena katika uchaguzi ujao wa 2020. Wenzako tayari wamekwishautangazia umma kuhusu kung'atuka kwao 2020 lakini pamoja na kuutangzia umma mwaka jana kuwa hutagombea 2020 tunaona bado uko kimya na tamko lako la mwaka jana bado una walakini.
Tunakuomba uutangazie umma uamuzi wako wa kutogombea tena ubunge 2020 kama walivyofanya wenzako.
Rorya tunataka damu mpya.
Zaidi ya kuongelea kwenye wodi za akinamama wajawazito na kuwapekekea pipi.Sasa Koryo 2 , Atatangazia wapi na huwa haongei bungeni ?!. Hao wa bukoba wameongelea bungeni. Huyu wa kwetu ni lini ulimsikia akiongea jambo bungeni ?!.
Odhis *