Tunasubiri Tamko Lako Erythrocyte

Tunasubiri Tamko Lako Erythrocyte

Arch Barrel

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
434
Reaction score
1,126
Mkuu tumekaa kinyonge sana, hii habari ya Msigwa haina mibaraka yoyote kwa vijana wenye kiu ya kuona siku moja CDM inatawata Tanzania.

Tunaomba tamko lako, kuna siku ulituaminisha kuwa Msigwa hawezi kuhama chama. Leo tunapigwa na butwaa, yani hata ukijaribu kunywa Castle light ya baridi unahisi unakunywa konyagi.

Hii weekend inaisha kinyoge sana.

Lete neno la Faraja, au tumtarajie shujaa wa sukari
 
IMG-20240625-WA1069.jpg
 
Back
Top Bottom