Tunatafuta godown au eneo la kukodi kwa ajili ya kuhamishia kiwanda

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Kichwa cha somo chahusika, kwa yeyote mwenye eneo lenye ukubwa kati ya sqm 700 hadi 1000, tunahitaji kuhamishia kiwanda chetu. Tutakodi eneo hilo. Mwenye nalo atujulishe. Karibuni PM
 
Kama upo dar hebu nenda mitaa ya kizuiana mbagala utaona kuna godown lipo karibia na DTB bank
Kichwa cha somo chahusika, kwa yeyote mwenye eneo lenye ukubwa kati ya sqm 700 hadi 1000, tunahitaji kuhamishia kiwanda chetu. Tutakodi eneo hilo. Mwenye nalo atujulishe. Karibuni PM
 
Kichwa cha somo chahusika, kwa yeyote mwenye eneo lenye ukubwa kati ya sqm 700 hadi 1000, tunahitaji kuhamishia kiwanda chetu. Tutakodi eneo hilo. Mwenye nalo atujulishe. Karibuni PM
No location, kwahiyo sisi tuanze kupiga ramli. Haya njoo lipo huku nangwanda sijaona
 
Kichwa cha somo chahusika, kwa yeyote mwenye eneo lenye ukubwa kati ya sqm 700 hadi 1000, tunahitaji kuhamishia kiwanda chetu. Tutakodi eneo hilo. Mwenye nalo atujulishe. Karibuni PM
Eneo lipo tuwasiliane 0717022737
 
To
Kichwa cha somo chahusika, kwa yeyote mwenye eneo lenye ukubwa kati ya sqm 700 hadi 1000, tunahitaji kuhamishia kiwanda chetu. Tutakodi eneo hilo. Mwenye nalo atujulishe. Karibuni PM
Toa namba ya simu
 
Nina godown Vingunguti nyuma ya kiwanda cha Pepsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…